LONGA HAPA!
|
MWANZO
|
UFAHAMU
|
WASILIANA NASI
Wasiliana nasi kwa simu namba +255 (0) 272546101 au
longa hapa
MWANZO
UZA
JIANDIKISHE
KUINGIA
MADUKA
YANAYOTAFUTWA
MALIPO
Mar. 13, 2010
TAFUTA
CHAMBUA
Chagua kipengele
Sanaa
Magari/Pikipiki/Basikeli
Vitabu
Biashara Inauzwa
Nguo
Kumbukumbu
Computing
Vitu vya watoto
Vitu vya umeme
Michezo
Mapambo & Saa
Nyumba
Huduma
Tiketi & Usafiri
Michezo ya computer
TV & Movies
Bidhaa kwa ujumla
------------------------
Vipengele vyote
WANACHAMA [
–
]
Jina
Ufunguo
Javascript not supported
Vipengele [
–
]
Sanaa
Magari/Pikipiki/Basikeli
Vitabu
Biashara Inauzwa
Nguo
Kumbukumbu
Computing
Vitu vya watoto
Vitu vya umeme
Michezo
Mapambo & Saa
Nyumba
Huduma
Tiketi & Usafiri
Michezo ya computer
TV & Movies
Bidhaa kwa ujumla
MWANACHAMA MPYA
Utambulisho
Jiandikishe kama
Matumzi pekee
Biashara
Chagua kama unataka kujiandikisha kama mfanya biashara au kwa matumizi binafsi
Jina Kamili
Andika jina kamili.
Anuani
Andika anuani yako.
Kitongoji / Mji
Andika Kitongoji / Mji ulioko
Nchi
Eneo unalokaa, mfano pangani, ubungo, kariakoo na kuendelea
Block yako kama unaifahamu
Tanzania
Namba ya simu/mobile
(
)
Andika nambari yako ya simu.
Tarehe ya kuzaliwa
January
February
March
April
May
June
July
August
September
October
November
December
01
02
03
04
05
06
07
08
09
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
Andika tarehe yako ya kuzaliwa hapo juu
Utambulisho wako katika matumizi
Email/Barua pepe
Kumaliza kujiandikisha, andika address ya barua pepe litakalokuwezesha kutambua kwa haraka.
Andika tena Barua pepe/ Email Address
Kutumiwa matangazo
Andika Jina utakalotumia
Mfano: mariam789 (Usitumie barua pepe)
Jina litakalotumika kukutambua.
Andikisha ufungua
kuanzia herufi sita
andika kifungua ya siri na rahisi kulikumbuka lakini ngumu kwa wengine kutambua.
Hakikisha ufunguo
Ufunguo wa utambulisho
Andika hizo number au herufi inayoonyeshwa hapo juu katika box hili ili kukutambua zaidi.
Hakikisha kwa mara nyingine
Vipengele na Masharti
Jumla ya vipengele na masharti yake (Kujiandikisha) Hii tovoti imekusudiwa kuwa ya kirafiki, burudani na uzoefu muhimu, lakini katika kila jambo kuna hatari yake na tunashauri kwa nguvu zote uelewe vipengele vyote kablay ya kuchukua uwamuzi wa kujiunga. Ikiwa utaona suala lolote ambalo lina shaka na lina pelekea kuvunja masharti ya vipengele ya tovoti hii kama inavyoeleza hapo chini basi tafadhali tujulishe kwa kuwasiliana nasi. Haki ya kukufungia kwa muda au kukuondoa Unakubaliana na uwamuzi wa tovoti hii ya kwamba inaweza kuondoa mnada wowote au utumiaji wa huduma haraka iwezekanvyo na bila ya kufahamishwa ikiwa (a) Tuna amini ya kuwa hufuati sheria za tovoti hii (b) umekuwa ukivunja baadhi ya vipengele ya sheria zake (c) Umeweka bidhaa yenye utata (d) Tuna amini ya kwamba sio mwenye kulipa pindipo umenunua bidhaa. Yote ya hayo ikiwa tumehisi umecheza vibaya tutakufungia kwa muda eneo lako/kuweka wakati ambapo tunaendelea na uchunguzi zaidi. Ikiwa uchunguzi wetu umefikia uwamuzi basi tutakutoa katika eneo lako. Matumizi yako. Ni majukumu yako pekee kwa yale utakayo yaweka kwenye tovoti hii. Ni lazima kuhakikisha kujihusisha kwako na uuzaji au manunuzi ya bidhaa hayvunji sehemu yeyote ya sheria au utaratibu uliowekwa. Kwa hili ina maana ni lazim kuangalia ya kwamaba unruhusiwa kuuza au kununua bidhaa husika na haikatazwi kwa kufanya hilo na sheria au utaratibu. Hauruhusiwi kwa kutuma kwa kutumia huduma hii kwa kukiuka , kusumbua, lugha chafu, kutishia, kuharibu, ishara chafu au chochote kile kisicho faa. Vilevile hauruhusiwi kutuma kitu chochote amabacho kitapelekea kusaidia katika uhalifu, kutishia amani au inakiuka sheria au utaratibu zilizowekwa. Wanachama Uwanachama katika tovoti hii ni kwa ajili ya wale ambao wanaweza kufuata makubaliano. Tovoti hii haimuruhusu vijana wadogo (chini wa umri wa miaka 16) kujiandikisha. Ikiwa mwanacham amekiuka kwa kudanganya umri wake basi atafungiwa kutumia haraka iwezekanavyo. Vipengele kwa ujumla Tovoti hii iko kwa ajili kumrahisishia anayenadi bidhaa na wenye kushiriki katika kushindania. Hatuhusiki katika uwendeshaji kati ya muuzaji na mnunuzi. Na vilivile, hatuko na uwezo wa kuhakikisha umadhubuti, usalama au kisheria bidhaa iliowekwa kwamba ni yenyewe kweli au uhakikika kilicho wekwa, uwezo wa mwenye kuuza au uwezo wa mwenye kununua bidhaa. Hatuwezi na kulinda au ikiwa muuzaji hatoweza kukamilisha mauzo waliodai kuuza au mnunuaji hatokamilisha ununuzi wa bidhaa ambayo wameshindania. La kuongeza, weka makini ya kwamba kuna hatari kuwa unadili na wasiokuwa wazawa , walio chini ya umri uliokusudiwa au watu wenye kutumia njia za udanganyifu. Tovoti hii haina majukumu yeyote kwa bidhaa zilizouzwa kwa mnada, uharibifu wa aina yeyote wakati wa usafirishaji au wakati wa uwangalizi, na wala kwa kutowakilisha bidhaa vizuri/ au kuvunja mkataba kutoka kwa mnunuzi na/ au muuzaji. Tovoti hii haina jukumu la kubadilishwa kwa bidhaa halisi au opotevu uliosababishwa katika ununuaji au upatikanaji wa bidhaa. This web-site assumes no liability for the content of the listings. However if you fall victim of a fraudulent transaction we will assist you as much as we can. Tovoti haitalaumiwa kutokana na yaliowekwa. Hata hivyo ikiwa itabainika ya kwamba umeangukia katika ubaradhuli tutakusaidia kwa uwezo wote. Sheria. Utaratibu huu wa huduma itakuwa inalindwa na kutengenezwa kutokana na sheria ya Tanzania na malumbano ya aina yeyote itaamuliwa na Mahakama ya Tanzania pekee.
Gonga kwenye kibox kidogo kama unakubaliana na vipengele na masharti hayo hapo juu.
Page loaded in 0.174663 seconds